Vodacom yaendelea kuwa mdhamini mkuu Dance 100% Vodacom Tanzania kwa mara nyingine tena wameendelea kuwa wadhamini wakuu wa mashindano ya Dance 100 kwa mwaka huu wa 2014 na lengo kubwa ni kuinua vipaji hivi vya uchezaji nchini Tanzania. Read more about Vodacom yaendelea kuwa mdhamini mkuu Dance 100%