Tanzania inachukua tahadhari dhidi ya Ebola

Mganga mkuu wa serikali Dkt Donan Mmbando (kushoto) akiwa na Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Uchumi Dkt Servacius Likwelile.

Serikali ya Tanzania imesema inachukua tahadhari ya kuzuia mlipuko wa ugonjwa wa Ebola kwa wananchi wake hasa wanaoishi katika maeneo ya mipakani kwa lengo la kujizuia kupata maambukizi ya ugonjwa huo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS