Ulinzi waimarishwa katika mahakamani Arusha

Ulinzi mkali uliimarishwa viwanja vya Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha leo asubuhi, huku waandishi wa habari wakipekuliwa mikoba yao kabla ya kuingia ndani ya Chumba cha mahakama ya hakimu mkazi Arusha.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS