Filamu ya 'Kisoda' kutua Bongo muigizaji wa bongo movies nchini Irene Uwoya Muigizaji nyota wa filamu nchini Tanzania Irene Uwoya tayari ameachia kidokezo cha filamu yake mpya aliyoibatiza jina 'Kisoda' ambayo imesheheni nyota wakali nchini akiwemo nguli wa filamu Mzee Majuto. Read more about Filamu ya 'Kisoda' kutua Bongo