STL kutoa 'Biashara' remix Ijumaa hii

Msanii Stella Mwangi aka STL wa Kenya

Nyota wa kike anayezidi kulijenga jina lake kimataifa zaidi Stella Mwangi aka STL, ametoa kidokezo cha video ya wimbo wake mpya 'Biashara' aliowashirikisha wasanii Khaligraph & Kristoff.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS