UNICEF kushiriki kutokomeza kipindupindu Tanzania

Muwakilishi wa UNICEF nchini Dkt. Jama Gulaid

Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto UNICEF limeshirikiana na Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Kitengo cha Elimu ya Afya kwa Umma katika kampeni ya kuelimisha kuhusu kipindupindu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS