Bunge laanza rasmi hii leo mjini Dodoma
Mkutano wa pili wa Bunge la 11 umeanza hii leo mjini Dodoma pamoja na shughuli nyingine wabunge watajadili mpango wa maendeleo awamu ya pili na hotuba aliyoitoa Rais Dkt. Magufuli huku mjadala wa kuhusu hali ya kisiasa Zanzibar ukitarajiwa kuibuka.
