Ligi kuu soka Tanzania Bara kuendelea kesho. Michuano ya ligi kuu ya soka Tanzania Bara inaendelea hapo kesho katika mzunguko wake wa 12 kwa michezo sita kupigwa katika viwanja mbalimbali hapa nchini. Read more about Ligi kuu soka Tanzania Bara kuendelea kesho.