Ester Bulaya ni mbunge halali Bunda -Mahakama Mahakama kuu kanda ya Mwanza imetupilia mbali kesi ya uchaguzi ya kupinga ubunge wa Bunda mjini na kumpa ushindi Ester Bulaya kutokana na walioleta maombi kutokidhi vigezo vya kisheria vya kufungua kesi. Read more about Ester Bulaya ni mbunge halali Bunda -Mahakama