Mfanyakazi wa bustani akamatwa mauaji afisa TANAPA
Jeshi la Polisi Mkoani Arusha limefanikiwa kumkamata mtu mmoja aitwaye Ismail Swalehe Sang’wa (20) ambaye ni mwenyeji wa wilayani Ikungi Mkoani Singida kwa tuhuma za kumuua Afisa wa Intelijensia wa TANAPA aitwaye Emily Kisamo (52).