Suala la Zanzibar ni tatizo - Saed Kubenea Mbunge wa jimbo la Ubungo kupitia CHADEMA Saed Kubenea, amesema bunge haliwezi kukaa kimya na kujifanya halioni suala la Zanzibar, na kuacha kulizungumzia bungeni humo. Read more about Suala la Zanzibar ni tatizo - Saed Kubenea