Mshambuliaji wa Chelsea diego costa(kulia)akikabiliana na beki wa Arsenal Gabriel Paulista(kushoto)pichani
Mabingwa watetezi wa ligi kuu ya soka nchini Uingereza Chelsea wameendeleza rekodi nzuri mbele ya Arsenal baada ya kuchomoza na ushindi wa bao 1-0 wakiwa ugenini kwenye muendelezo wa ligi kuu nchini Uingereza.