Kudanganya umri kwaiangamiza Afrika kisoka

Nyota wa kiafrica wanaokipiga barani ulaya lakini wakionekana kudanganya umri wao hali inayopelekea kushindwa kutamba kwenye timu za Taifa.

Kitengo cha uchunguzi wa masuala ya soka kilichoko Uswisi timu za Afrika zimeshindwa kufanikiwa kwa sababu ya udanganyifu katika ngazi ya vijana.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS