Vilabu vyatakiwa kuwapa wachezaji nafasi Kimataifa Vilabu vya soka nchini vimetakiwa kuwapa wachezaji nafasi za kucheza kimatafa ili kuweza kukuza vipaji vyao na kuweza kuitangaza nchi katika ramani ya michezo. Read more about Vilabu vyatakiwa kuwapa wachezaji nafasi Kimataifa