Polisi Mtwara yatahadharisha wavunjifu wa sheria
Jeshi la Polisi mkoani Mtwara limewatahadharisha wananchi juu ya kufanya vitendo vitakavyosabisha uvunjifu wa amani katika kipindi hiki cha sikukuu, na kuahidi kuwachukulia hatua watakaojaribu kufanya hivyo kwani jeshi hilo limeimarisha ulinzi.