kaimu meneja mkuu wa Chama Kikuu cha Ushirika cha Masasi-Mtwara na Nanyumbu (MAMCU), Kelvin Rajabu
Bei ya zao la korosho imeshuka kutoka sh. 2,700 kwa kilo moja mpaka kufikia sh. 2,450, hali ambayo imesababishwa na baadhi ya wanunuzi hapa nchini kukosa soko la zao hilo kimataifa.