Serikali kutatua tatizo la ajira nchini

Naibu waziri wa Nchi Bunge Kazi, Ajira, Vijana na Watu wenye Ulemavu Mhe. Anthony Mavunde

Serikali imesema ili kukabiliana na tatizo la ajira kwa wahitimu wa elimu ya juu ambao wengi wao ni vijana imeandaa mpango maalumu ikiwa ni pamoja na kuimarisha wakala wa huduma za ajira nchini Tanzania (TAESA).

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS