Mahakama yahitaji bil 1.8 kuhamisha wafanyakazi
Idara ya mahakama inahitaji zaidi ya Shilingi Bil.1.8 ili iweze kuwahamisha watumishi wa ngazi mbalimbali katika idara hiyo hapa nchini wapatao mia moja tisini na mbili waliokaa kwenye kituo kimoja cha kufanyia kazi kwa muda mrefu.