Izzo: Mwaka 2015 ni wa mafanikio
Rapa kutoka mkoa wa Mbeya Izzo Bizness amekiri kuwa mwaka huu umekuwa wenye mafanikio kwake katika game ya muziki akiweka wazi kuongeza idadi kubwa ya mashabiki pamoja na kufanya kolabo mbalimbali za wasanii kama staa wa muziki Navio wa Uganda.