Djokovic uso kwa uso na Federer Australian Open.

Bingwa mtetezi wa michuano ya wazi ya Australia Novak Djokovic atakutana uso kwa uso na bingwa mara 17 wa grand slam kwenye mchezo wa nusu fainali wa michuano hiyo baada ya wote kushinda kwenye mechi za robo fainali.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS