Tunaendelea kuuza wachezaji wengi nje - Kasongo
Wakala wa mchezaji wa kimataifa Mbwana Ally Sammata, Jamal Kasongo amesema anaamini mpaka mwakani kutakuwa na wachezaji sita kutoka Tanznaia ambao watakuwa wanacheza soka la kulipwa ili kuweza kuitangaza nchi katika ramani ya soka.