Belle 9: Vitamin Music imenipiga tafu
Tukiwa ndio tunauaga mwaka 2015 kuelekea 2016 baadhi ya wasanii wa muziki wameelezea mafanikio yao katika tasnia ya burudani ambapo star Belle 9 amekiri kuwa amepiga hatua baada ya menejimenti yake ya Vitamin Music kumsapoti kwa nguvu zote.