Watanzania hodari wa kuhoji timu zikitolewa-Azam Kikosi cha Azam FC kikifanya mazoezi wa uwanja wa Ndola nchini Zambia Imeelezwa kuwa watanzania ni hodari wa kuhoji matokeo mabaya pindi timu zinapofanya vibaya mashindano ya kimataifa, lakini wanasahau bila ya maandilizi hakuna matokeo rahisi. Read more about Watanzania hodari wa kuhoji timu zikitolewa-Azam