Uingereza yaandika historia Australian Open Uingereza imeweka rekodi ya kuwa na wachezaji wawili katika hatua ya nusu fainali ya mashindano ya tenisi ya Grand Slam kwa mara ya kwanza tangu mwaka wa 1977. Read more about Uingereza yaandika historia Australian Open