Kiwango cha Niyonzima hakijaniridhisha- Kocha Hans
Kocha Mkuu wa Klabu ya Yanga Hans van Der Pluijm amesema kiwango cha kiungo wa kimataifa kutoka nchini Rwanda, Haruna Niyonzima hakijarejea kama alivyokuwa akitarajia mara baada ya kuungana na klabu hiyo.

