Pauline Zongo amekuja kuwashika
Pauline Zongo mwanamuziki ambaye amerudi hivi sasa kuonesha uwezo wake katika muziki amesema kuwa huu utakuwa ni mwaka wake mpya baada ya kuwa bize na maswala ya kifamilia ambazo pia zimechangia kuwa kimya nje ya muziki.
