Viongozi watakiwa kueleza madhara ya chuki

Umoja wa Mataifa kupitia ofisi yake nchini Tanzania umewataka viongozi wa kadhia mbalimbali wenye ushawishi kwa makundi makubwa ya watu nchini Tanzania kutumia nafasi walizonazo kuwaeleza vijana madhara ya chuki

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS