Kenyatta Kupambana na waliovamia kambi Somalia Rais Uhuru Kenyatta amesema majeshi ya Kenya yatawinda wapiganaji walioshambulia kambi ya majeshi ya Umoja wa Afrika nchini Somalia na kuua wanajeshi. Read more about Kenyatta Kupambana na waliovamia kambi Somalia