Nina imani na Mahakama-Kafulila
Aliyekuwa mbunge wa Kigoma Kusini kupitia chama cha NCCR Mageuzi David Kavulila amesema ana imani na mahakama katika kutenda haki katika kesi yake ya uchaguzi kupinga ushindi wa mgombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Hasna Mwilima.

