Cannavaro kupeleka barua TFF ya kuachana na Stars
Muda mfupi baada ya kutangaza kustaafu kuichezea Taifa Stars, nahodha na beki wa zamani wa timu hiyo, Nadir Haroub ‘Cannavaro’ leo Jumamosi anatarajia kukabidhi barua rasmi ya uamuzi wake huo kwa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF).

