5Selekt Leo kwenye 5Selekt tutakuwa na Izzo Bizness, si unajua ngoma yake mpya ya shem lake aliyofanya na G Nako na FA, sasa video yake je? Majibu yenu yote ni leo ndani ya 5Selekt kuanzia saa 10:00 -12:00 jioni, unakosaje sasa.Submitted by Dickson on Jumatano , 6th Jan , 2016 Read more about 5Selekt