Linex: Mashabiki waitengenezea Fursa "Kwa Hela"
Baada ya kutikisa headlines kwa mtindo ambao star wa muziki Linex aliamua kuutumia kutafuta kiki ya kuachia ngoma yake ya Kwa Hela na kwa sehemu kuonekana kuwa amewahadaa mashabiki wake, nyota huyo ameamua kuweka rekodi sawa.

