Ligi daraja la Kwanza kuendelea mwisho wa wiki

Ligi Daraja la Kwanza nchini (FDL) raundi ya 13 inatarajiwa kuendelea wikiendi hii kwa timu 24 [kucheza michezo 12 katika viwanja tofauti, huku kundi A na C kukiwa na ushindani mkali kwa kila timu kuwania kupanda ligi kuu ya Vodacom msimu ujao.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS