Bomoa Bomoa yampora furaha Wastara
Nyota wa filamu Wastara Juma, akiwa moja ya mastaa wanaoguswa na zoezi la bomoa bomoa linaloendeshwa na serikali ambapo nyumba zake mbili zipo katika eneo lisiloruhusiwa, ametoa lawama nzito kwa niaba ya waathirika wote katika zoezi hilo.