Kesi ya uchaguzi dhiidi ya Bulaya yapigwa kalenda
Mahakama kuu kanda ya Mwanza Januari 25 mwaka huu inatarajia kutoa uamuzi mdogo wa kesi ya uchaguzi mkuu iliyofunguliwa na wakazi watatu wa jimbo la Bunda mjini dhidi ya mbunge wa jimbo hilo Mh. Esther Bulaya.

