Williams,Sharapova wapata mshtuko .
Nyota wa tenisi Serena Williams na Maria Sharapova wametia doa ushiriki wao kwenye michuano ya wazi ya Australia inayotarajiwa kuanza kutimua vumbi baadae mwezi huu kufuatia kupata majeraha kwenye mechi za kupasha moto misuli hapo jana.