Japani yatoa bilioni 210 za mradi mkubwa wa umeme Shirika la Maendeleo ya Kimataifa la nchini Japan – JICA, limesaini makubaliano ya kuikopesha serikali shilingi bilioni 210 za ujenzi wa njia ya umeme utakaoziunganiisha Tanzania na Kenya. Read more about Japani yatoa bilioni 210 za mradi mkubwa wa umeme