Mapinduzi na ligi kuu zitaunda Taifa Stars -Mkwasa Kocha wa timu ya Taifa ya Tanzania Charles Boniface Mkwasa amesema, anaamini atapata wachezaji kutoka katika michuano ya ligi kuu pamoja na ya Kombe la Mapinduzi linaloendelea visiwani Zanzibar. Read more about Mapinduzi na ligi kuu zitaunda Taifa Stars -Mkwasa