Mawaziri wakuu wastaafu wana haki kulipwa- Kairuki
Serikali imesema kuwa mawaziri wakuu wastaafu wanahaki ya kuendelea kuhudumiwa na serikali kwa mujibu wa hitimisho la kazi namba 3 ya mwaka 1999 na kuendelea kupewa stahiki zao kwa mujibu wa sheria ya nchi inavyoelekeza.

