Yanga, Azam FC, Mtibwa kundi moja Mapinduzi Cup Mabingwa watetezi, Simba SC wamepangwa Kundi A katika Kombe la Mapinduzi 2016 pamoja na URA ya Uganda, Jamhuri ya Pemba na JKU ya Unguja. Read more about Yanga, Azam FC, Mtibwa kundi moja Mapinduzi Cup