"Video Queens' wanataka umaarufu si pesa - Wadau
Imebainika kwamba wasichana wengi ambao wanafanya kazi ya video models hawalipwi vile inavyostahili, isipokuwa wanakubali kufanya kazi hiyo ili kuweza kupata umaarufu na kuwarahisishia kupata kazi zingine.

