Waziri Nape akanusha kukatazwa kwa mavazi. Waziri wa Habari, Utamaduni Wasanii na Michezo Nape Nnauye, amekanusha taarifa iliyosambaa mitandaoni inayohusu wizara yake kukataza baadhi ya mavazi hasa sehemu za mikusanyiko ya umma. Read more about Waziri Nape akanusha kukatazwa kwa mavazi.