Waziri Lukuvi awaandikia wabunge wote barua. Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mh.William Lukuvi,amewaandikia wabunge wote barua akiwataka waeleze migogoro ya ardhi iliyopo katika majimbo yao. Read more about Waziri Lukuvi awaandikia wabunge wote barua.