Matokeo ya awali na Mazembe ni historia -Niyonzima Kiungo wa Yanga, Haruna Niyonzima (kushoto) akitafuta njia ya kumtoka kiungo wa TP Mazembe, Nathan Sinkala Kiungo mshambuliaji wa Yanga, Mnyarwanda, Haruna Niyonzima amesema, licha ya kupoteza michezo miwili mfululizo hawawezi kukata tamaa na matokeo yaliyopita yanabaki historia kwao. Read more about Matokeo ya awali na Mazembe ni historia -Niyonzima