Wekezeni kwa vijana kufikia Malengo-Alhendawi
Mjumbe maalum wa Umoja wa Mataifa kuhusu vijana,Ahmad Alhendawi amesema wakati umefika wa kuacha kurushiana lawama kuhusu chanzo cha ukosefu wa ajira kwa vijana duniani na badala yake hatua stahili zichukuliwe ili kuweza kufanikisha malengo.
