Shule iliyoongoza kitaifa yakabiliwa na Changamoto
Licha ya Shule ya sekondari Kisimiri kuongoza kitaifa katika kufaulishwa wanafunzi wa kidato cha sita bado shule hiyo inakabiliwa na ubovu wa miundombinu pamoja na ukosefu wa uzio wa shule hiyo inayopakana na hifadhi ya taifa ya Arusha.
