Hatutasaini mikataba kwa kufumba macho-Mwijage
Mkutano wa 14 wa UNCTAD ukiwa umeingia siku ya Nne, mjini Nairobi, Kenya, nchi wanachama wa kamati hiyo zimekuwa zikijadili makubaliano ya ushirikiano wa kiuchumi, EPA huku Tanzania ikisisitiza kuwa haitasaini mikataba ikiwa imefumba macho.

