Azam FC yaichapa Friends 2-1 mchezo wa kirafiki Klabu ya Azam FC, imeendelea kujifua kuelekea msimu ujao, ambapo katika kujiweka sawa Jumatano asubuhi imecheza mchezo wa kujipima ubavu dhidi ya Friends Rangers na kuifunga timu hiyo mabao 2-1. Read more about Azam FC yaichapa Friends 2-1 mchezo wa kirafiki