Bondia Anthony Joshua noma, ampiga KO asiyepigika Bondia Anthony Joshua [kulia] akimrushia konde bondia Dominic Breazeale. Bondia Anthony Joshua wa Uingereza ameonesha kweli yeye ndiye mbabe mpya wa ngumi za uzito wa juu baada ya kumtwanga Mmarekani, Dominic Breazeale ambaye alikuwa hapigiki. Read more about Bondia Anthony Joshua noma, ampiga KO asiyepigika