Ureno tia maji tia maji yatinga robo fainali Euro
Uzoefu wa baadhi ya wachezaji kama Cristiano Ronaldo na wengine kama kina Quaresma umekuwa ndiyo chachu pekee yakuivusha timu ya taifa ya Ureno katika mbio za kuwania ubingwa wa michuano ya mataifa ya Ulaya Euro 2016 inayoendelea nchini Ufaransa.